NEEMA MUDOSA AMEACHIA VIDEO YA WASHANGAZE FT.GOODLUCK GOZBERT,ITAZAME HAPA



Ule wimbo uliofanya vizuri katika audio wake Neema Mudosa mwimbaji kutoka nchini Congo akiwa amemshirikisha mtanzania Goodluck Gozbert,habari nzuri ni kwamba sasa video yake iko tayari.

Wimbo huo unaoitwa "Washangaze" ambao audio imetengenezwa naye producer Goodluck Gozbert kwenye studio za Mpo Africa,video imeongozwa na director John Filmz.

Kupitia Promover.com leo Neema anakualika kutazama video hiyo na kisha uisambaze kwa marafiki na utoe maoni yako.Barikiwa! 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment