TANZANIA ONE GOSPEL KUZINDUA ALBUM YAKE DR.ISAYA MSANGI | YUMWEMA YESU

Tanzania One Gospel Inakuletea uzinduzi wa DVD ya 'YuMwema Yesu' yake  Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania anayeitwa  DR.Isaya Msangi(shetani imekula kwake).

Uzinduzi huo utafanyika tar 5/3/2017 kwenye ukumbi wa Deluxe Social Hall-Sinza kijiweni kwa kiingilio cha Tsh 10,000/=VIP, Na Tsh 3,000 kawaida.

Waimbaji mbalimbali watakuwepo katika uzinduzi huo kama vile Bonny Mwaitege,Faraja Ntaboba,Boni Magupa,Ikupa Mwambenja,Moses Simkoko,Anna Clara na wengine wengi.

Watu wote mnakaribishwa katika uzinduzi huo.Usikose!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment