PATA HUDUMA ZA UBORA NA UHAKIKA KUTOKA BRAVE NET,MAELEZO YOTE YAKO HAPA.



Brave net Company ni kampuni kubwa inayojihusisha na masuala ya kiteknolojia iliyopo jijini Dar es Salaam ambayo inakutangazia huduma bora kabisa na za viwango.

Brave net inatoa huduma kama vile:Kutengeneza tisheti yaani T-shirt Printing,Dubbing DVD & CD(Zitaletwa popote ulipo kwa gharama zetu),Website & Blog Design,Bunner Design & Printing,Video Production and Tv programes & Documentaries Production.

Huduma nyingine ni pamoja na Graphics Design & Secterial Services bila kusahau huduma mpya kabisa ya kutangaza biashara na huduma yako kwa urahisi na uharaka kuwafikia watu wengi zaidi duniani huduma hii inaitwa Info Advert System.

Ofisi zetu zipo Ubungo Riverside jijini Dar es salaam.Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0753659114/0714829160 lakini pia uaweza kutembelea ukurasa wetu wa Facebook ili kuona huduma zote tunazozifanya kwa kubonyeza >>HAPA
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment