SIKILIZA SEHEMU YA MWISHO YA USHUHUDA WA MALKIA WA KUZIMU

 
Ule ushuhuda wa kusisimua unaoitwa 'Malkia  wa kuzimu' umefika tamati kwa sehemu ya tano ambayo tayari imeachiwa.

Ni ushuhuda wa kweli wenye mafunzo mengi ambao umewabariki wengi,kama na  wewe ni mmoja wa waliobarikiwa basi karibu upate sehemu ya tano na ya mwisho kabisa ya ushuhuda huu.

Kama na wewe una ushuhuda na ungependa ushuhudie tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba: 0784074462

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment