TAZAMA VIDEO MPYA KUTOKA KWA LEAH MAULA-SINA MWINGINE


Leah Maula ni Mwimbaji wa nyimbo za injili anayefanya vizuri kutoka mkoani Tabora kwa sasa,ambapo leo anatualika kutazamka video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'SINA MWINGINE'

Audio imefanyika Walawi studio chini ya producer Zakayo huku video ikiwa imeongozwa na director Kessy kutoa Juction Gospel Studio.

Video hii ni ya kwanza kabisa kwa mwimbaji huyu,ambapo pia ndio wimbo unaobeba album yake.Video nyingine zitakujia hivi karibuni.

Leah yuko tayari kwa mialiko na yupotayari kushikwa mkono ili kufanikisha huduma yake,mtafte kwa simu namba:+255678160695

Karibu sasa utazame video hiyo lakini pia unaweza kupakua audio hapo chini,unaruhusiwa kusambaza kwa marafiki.


Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment