FURSA KUBWA KWAAJILI YA WAIMBAJI WOTE WA INJILI,MNAKARIBISHWA KWENYE KAMBI HII YA BURE

 
wale wataalamu wa masomo mbali mbali na kambi maalumu Worship Quarantine Camp(WQ),Wanakuletea kambi maalumu kwaajili ya waimbaji wa nyimbo za injili.

Kambi hiyo itafanyika mkoani Dodoma kuanzia tarehe 22-26 feb 2017 ambapo chakula na malazi vitatolewa bure kabisa!

Masomo yatakayofundishwa ni pamoja na "Jua nafasi ya waimbaji na muziki katika mchakato wa kuabudu makanisani" pamoja na ujumbe maalum kwa walezi na vijana.

Ili kushiriki katika kambi hiyo tuma jina lako na unakotokea kwa katibu wa kambi kwa simu namba:0763478804.

Tangazo hili limetolewa naye Pastor Raohael JL.Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa waimbaji wengine wengi kadri uwezavyo Mungu ana haja nao.Karibuni sana!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment