KIHAYILE GROUP,ANGEL BENARD,BEATRICE KITAULI,WASHINDA TUZO NCHINI KENYA



Waimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania kikundi cha Kihayile Group,Angel Benard na Beatrice Kitauli ni miongoni mwa watanzania waliong'ara katika tuzo zilizotolewa nchini Kenya.

Tuzo hizo za Xtreem Awards 2016 zimetolewa usiku wa jana tar 11/12/2016 katika ukumbi wa Carvary Covenant Centre Komarock nchini Kenya huku watanzania mbalimbali wakipokea tuzo hizo.

Kihayile group wamechukua tuzo ya kikundi bora kutoka Tanzania huku Angel Benard akichukua tuzo ya Mwimbaji mpya kutoka Tanzania.

Wapo watanzania wengine waliochukua tuzo akiwemo Beatrice Kitauli,Kraist Kid,Dir Pyuza,Jose Jay na Simon Simons.Tazama hapa chini orodha ya washindi wote katika tuzo hizo(watanzania katika wino wa blue).

List of Winners
Congratulations to all the Nominees and winners in Xtreem Awards 2016..


LIST OF NOMINEES XTREEM AWARDS 2016......

1.African Art... Vicky Vilakazi SA
2. Male Artist.. Guardian Angel
3. Female Artist... Size 8
4. Group of the year.. Bonafide
5. Dance Crew.. Flamers
6. Emerging Dance crew... Crazy Dance
7. Deejay.... DJ Terrors
8. Emerging DJ female...... DJ Peshie
9. Emerging Dj Male..... DJ Kislev
10. Hype man........ Summercon
11. Mc female.... Mc Philly's
12. Mc Male.... Mc Mike
13. Audio producer...... Bwenieve
14. Emerging Audio producer...... Eddy kay
15. Video producer.... Shaddy Mtumishi
16. Emerging Video producer.... Mike x mungai
17. Video producer Tz..... Dir Pyuza
18. Favourite song..... Tenda wema (Ringtone)
19. Songwriter...... Majic Mike
20. Collabo..... Garvey Royal
21. New artist male.... Mash Mwana
22. New artist female..... Sharon shally
23. New Artist Tz.... Angel Benard
24. Most promising.... Silva Mistarish
25. Worship Artist... Evelyn Wanjiru
26. Reggae/Ragga... Wunderkid
27. Hiphop artist.... Eagle James
28. Afropop... Mck
29.Bongo artist.... Jose Jay
30. Comedy act... 2mbili
31. Spoken word... Young Celeb
32. Central artist.... Josh Wanyati
33. Western Artist... Patrick Okado
34. Lakeside artist..... K kid keens
35. Rift valley..... Blessed sisters
36. Eastern artists... Mary Nzau
37. Coast artist.... Judith Mugo
38. Tanzania group... Kihayile
Tanzania choreographer.. Simon Simons
39. Tanzania most promising ... Beatrice Kitauli
40. Tanzania new artist Male.... Kraistkid

41. Uganda..... Levixone
42. Rwanda.... Serge
43. Burundi...Adella
44.South Africa... Sbu Banda
45. West Africa... Yolanda
46. Diaspora artist.... Alemba
47. Tv show....Vuka360 Ebru
48. Tv Presenter.....DJ Sadiq
49. Tv Programme.....Machachari
50. Digital Tv.... KU TV
51. Favourite actor... Hiram Maina Tahidi
52. Teen Actor... Sammy Machachari
53. Drama show... Machachari
54. Upcoming artist..... Bob Machachari
55. Teen male actor.... Kenny Machachari
56. Radio Presenter.... Peter Pinchez KU FM
57. Photographer.... Ace
58. Fashion designer.... Crave looks
59.Fashion stylist.... Simba mtoto
60. Hair stylist.... Steve Roots
61. Graphic designer... Wyre
62. Male model..... Arthuro Amanalien
63. Female Model.... Caroline Mwelu
64. Emerging new artist..... Felix leseni
65. Emerging Dance... Crazy
66. County radio..... ATG radio
67. Social media personality... DJ Paul
68. Social media influencer... Ghafla
69. Best Entertainment writer ..Cabugah
70. Favourite mall.... Junction
71. Teen worship team...... Solid Rock
72 Teen Service.... Purpose Centre Teens
73. Mentor of the year . PST Andrew Guya
74. Young Upcoming Actor.... Kenny Machachari
75 Most Outstanding Award ..Mudukiza Joe (Sickle cell Ambassador)
76. Special Talent award ..Dj Euphoric.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment