HAPPY BIRTHDAY HONDWA MATHIAS!

 
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita mwimbaji wa nyimbo za injili kwa jina Hondwa Mathias a.k.a hondwa elody aliingia duniani rasmi.

Hivyo basi leo anasherekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake ambapo tovuti hii ya Promover.com inamtakia kila la kheri na mafanikio tele maishani mwake.Happy birthday Hondwa Melody! 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment