TAZAMA BEHIND THE SCENE YA ACHA NIKUIMBIE|MANONGA CLASSIC


 
Video ya  wimbo wa Acha nikuimbie  wake mwimbaji wa nyimbo za injili anayeitwa Manonga Classic imeiva na iko tayari kupakuliwa,amesema Manonga alipozungumza na promovertz.com

Amesema video hiyo ambayo imeongozwa na director ip magera ina ubora na viwango vya hali ya juu hivyo basi kila mtu akae mkao wa kupokea.Tazama behind the scene(nyuma ya pazia)za utengenezaji wa video hiyo. 
 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment