MANONGA CLASSIC AMSIFIA DIRECTOR IP MAGERA,NI ALIYEONGOZA ACHA NIKUIMBIE

 
Manonga classic ameooneshwa kuridhishwa na kazi ya director IP Magera aliyeongoza video mpya ya wimbo wa acha nikuimbie.

Manonga ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na promovertz.com ambapo ameeleza kuwa pamoja na kwamba director huyo hana jina kubwa lakini anafanya kazi nzuri na zenye ubora kuliko alivyotegemea.

Director Ip Magera ndiye aliyeongoza video mpya ya Acha Nikuimbie yake Manonga Classic itakayoachiwa hivi karibuni,zaidi kuhusu mahojiano hayo tazama video hapa chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment