DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA WAKE SAIMON NGWENA | EBENEZA

 
Anaitwa Saimon Ngwena Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoani Tabora.Leo anatuletea wimbo wake mpya unaoitwa 'Ebeneza'.

Wimbo huu umeendelea kuwa maarufu ndani na nje ya nchi ukiwa umerekodiwa kwenye studio za jijini Dar es salaam zinaitwa Gud Music chini ya mikono ya producer Johnny.

Saimon Ngwena anayo album moja inaitwa Umenivusha ambayo ipo sokoni hadi sasa ikiwa imesheheni nyimbo zenye ubora wa hari ya juu.

Karibu sasa uweze kuusikiliza wimbo wake mpya ambao huu ni kutoka album yake mpya ambayo ataiachia hivi karibuni.Kwa mawasiliano zaidi mpigie Simon kwa simu namba:+255658 212 664

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment