TAZAMA VIDEO MPYA YAKE ANGEL BENARD | UTUKUMBUKE

 
Ule wimbo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa kutoka kwa mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili Angel Benard hatimaye  umekamilika na sasa uko tayari

Nazungumzia wimbo wa 'UTUKUMBUKE' ambao baada ya siku chache za kuachia audio sasa video nayo imeachiwa rasmi

Wimbo umetayarishwa katika studio za Still Alive za jijini Nairobi nchini Kenya na video imeongozwa na Kwetu Studio.

Karibu sasa utazame video hiyo:

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment