TAZAMA VIDEO MPYA YAKE GOODLUCK GOZBERT | HAUWEZI KUSHINDANA


Goodluck Gozbert ameachia video ya wimbo wake wa Hauwezi Kushindana unaopatikana kwenye album yake mpya inayoitwa Shukrani aliyoiingiza sokoni mapema mwaka huu.

Video hiyo mpya imeongozwa na director Destro huku audio ikiwa imeandaliwa na producer Paulo kutoka nchini Kenya.

Chukua dakika zako chache kutazama video hiyo hapa chini:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment