SIKILIZA/DOWNLOAD AUDIO BETHAEL NSUMYI | SAFARI



Ni mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka mkoani Dodoma nchini Tanzania,akifahamika kwa jina la Bethael Nsumyi,ambaye anatuletea hii kali kutoka kwenye album yake mpya aliyoiachia hivi karibuni.

Wimbo anaotuletea leo Bethael unafahamika kama 'SAFARI' ukitokea kwenye album yake mpya inayofahamika kama Rafiki Mwema yenye jumla ya nyimbo nane.

Cha pekee kutoka kwakwe Bethael Nsumyi ni kwamba yeye mwenyewe ni producer ambapo katika album hii ambayo inapatikana katika mfumo wa audio na video ametengeneza beat na kufanya mixing kwa mkono wake mwenyewe.

Bethael anakualika kusikiliza wimbo huu lakini pia yuko tayari kabisa kwa mialiko,ushauri na kazi zote za injili ambapo kama utamuhitaji unaweza kumpata kupitia simu namba: 0758294053/0717831439

-Sikiliza/Download sasa wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment