TAZAMA VIDEO YAKE BETHAEL NSUMYI | SAFARI



Huyu ni mmoja kati ya waimbaji wa nyimbo za injili wanaopatikana mkoani Dodoma akifahamika kwa jina la Bethael Nsumyi ambaye leo anatukaribisha tuweze kutazama video yake kutoka kwenye ulbum aliyoizindua hivi karibuni.

Wimbo huu unaitwa Safari upo kwenye ulbum yake mpya ya Rafiki Mwema yenye jumla ya nyimbo nane ambapo audio zote amezitengeneza mwenyewe.

Kama utamuhitaji Bethael kwaajili ya ushauri na mialiko unaweza kumpata kwa simu namba:0758 294 053 /0717 831 439.Karibu sasa utazame video hiyo:


Kudownload audio ya wimbo huo bonyeza>> HAPA
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment